Mvaa Tai JF-Expert Member Joined Aug 11, 2009 Posts 6,158 Reaction score 4,449 Nov 5, 2010 #1 Jamani kuuliza si ujinga, binafsi nataka kujua kama huyu mtu ana walinzi, mwenye taarifa anijibu. Hii ni kwa nia nzuri tuu kuna kitu nimefikiria:evil:.
Jamani kuuliza si ujinga, binafsi nataka kujua kama huyu mtu ana walinzi, mwenye taarifa anijibu. Hii ni kwa nia nzuri tuu kuna kitu nimefikiria:evil:.
Mahesabu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2008 Posts 6,658 Reaction score 6,700 Nov 5, 2010 #2 HANA HATA MMOJA...namuonaga anatembea na waskaji zake aliosoma nao, au washkaji zake wa maskani..just friends
HANA HATA MMOJA...namuonaga anatembea na waskaji zake aliosoma nao, au washkaji zake wa maskani..just friends