Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Mzee mwenzangu na "mtani wa jadi" Bw. Rashid Othman - Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa anaoza wiki hii binti yake Sabrina kwa familia ya kina Zungu (Mbunge wa Ilala). Kwa niaba ya sisi "wengine" na "wao" tunamtakia bibi Harusi na Bwana Harusi ambaye anaishi UK maisha mema ya ndoa na kamwe wasije kujikuta kwenye visanga vya Mjamaika na Mke wa Waziri... katika Kumbatio la Mwenye Makosa...
Nashangaa umechelewa kuipata habari hii. Naona kainzi kanalala usingizi siku hizi. Inasemekana ukumbi uliokodishwa mara ya kwanza umekuwa mdogo baada ya kubainika kwamba waalikwa kutoka sehemu mbali mbali duniani ni wengi mno kuliko uwezo wa ukumbi huo. Si ajabu kadi yako ya mwaliko iko njiani lol!

miye nimeombwa nitume salama kwa niaba ya marafiki wa zamani wa Bibi Harusi..
miye nimeombwa nitume salamu kwa niaba ya marafiki wa zamani wa Bibi Harusi..
Mwanakijiji, kama huyo bwana Othman ni "mzee" mwenzio na pia mtani wako wa jadi, sisi wengine tukueleweje? Mbona unatuchanganya!!
Mwanakijiji you sound like u belong to the
ruling class.the elites.....
Are you???????????????
Matumizi ya hela za mafisadi ni harusi za kifahari tu na kuweka hela ktk benki za nje ya nchi!! Thats why white people they always think n know that we are folls. How can you spend billions or millions of money for wedding ceremony? Why don't you build a small industryatleast or a house for renting people or do something productive for the society? This is shocking