Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,967
- 2,147
Nipo najiandaa kusafiri kutembelea sehemu mbalimbali za Tanzania hivi karibuni, na ninahitaji umbali wa kutoka Dar es Salaam hadi makao makuu ya kila mkoa Tanzania bara kwa usafiri wa barabara katika vipimo vya kilometre. Nimejaribu kutembelea website ya TANROADS, hakuna takwimu za umbali, wameweka ramani tiu. Please, naomba yeyote aliye na takwimu ninazohitaji mfano Distance Chart anipatie. Natanguliza shukrani
Kwa kuwa kile kibofyo cha THANKS hakionenekani, sina budi kuwapa asanteni sana wana JF MTUMISHI na M-PESA, naanza sasa hivi kufuatuilia hizo source mulizonieleza. Huu ndio uzuri wa JF, ni hazina ya ushauri na mawazo ya kujenga. Asanteni sana
Mama mdogo jaribia hii Drive Calculator - driving distance and drive time
huwa inanisaidia sana.
Mtumishi.
hiyo website kiboko, inakupa na fuel expenses!! nimeikubali!!Mama mdogo jaribia hii Drive Calculator - driving distance and drive time
huwa inanisaidia sana.
Mtumishi.