Kama daladala ya kariakoo_Tegeta inatumia lita 150 kwa siku.....
Na kama serikali imeongeza sh 40 kwa lita kama mbadala wa motor vehicle road license...
Kama dalaladala hiyo ilikuwa ikilipa road license sh 350,000 kwa mwaka...
Ukikokotoa kutumia siku 300 kwa mwaka; daladala hiyo italipa road license sh 1,800,000 badala ya sh 350,000 za sasa... nilishangaa sana makofi ya wabunge ktk hotuba ya bajeti kufurahia kinachoitwa kufuta road license....
Sent using Jamii Forums mobile app

sidhani kama amemaanisha hivyo ule ni mfano, kweli hiyo arobaini ni hela nyingi sana hawakupiga tu hesabu wengi walifurahi kufutwa tu,ingekuwa sawa hii arobaini ikapunguzwa hata kubaki ishiliniKwahiyo ndio unataka usemeje?! Umefikiria kwa gari ambalo muda mwingi limefungiwa ndani bila kutumiwa, nalo lilikuwa linalipa RL 350,000?
Ungekuwa na chombo chochote cha moto, ungewaelewa waliokuwa wakipiga makofi.
Africa shida sana, hatuna jema hata moja?!
Sasa mkuu huoni kwamba wewe ndio ulikua unaiibia serikari?? kama uliweza kuweka litre 150 kwa siku manake ulikua unaingiza pesa nyingi sana wakati unalipa pesa kidogo kwenye road licence, mimi nilikua nalipa laki 2 na 30 wakati kwa mwaka natumia mafuta kidogo sana, ambapo sasa ni kama nachangia 100,000 kwa mwaka, kikubwa ni kupambana na hali yako, ukiona unaibiwa ukifisha litre zinazolipa road licence 350,000 kama uliyokua unalipa mwanzo, paki gari yako kula mawe hadi mwaka uishe.Kama daladala ya kariakoo_Tegeta inatumia lita 150 kwa siku.....
Na kama serikali imeongeza sh 40 kwa lita kama mbadala wa motor vehicle road license...
Kama dalaladala hiyo ilikuwa ikilipa road license sh 350,000 kwa mwaka...
Ukikokotoa kutumia siku 300 kwa mwaka; daladala hiyo italipa road license sh 1,800,000 badala ya sh 350,000 za sasa... nilishangaa sana makofi ya wabunge ktk hotuba ya bajeti kufurahia kinachoitwa kufuta road license....
Sent using Jamii Forums mobile app
sidhani kama amemaanisha hivyo ule ni mfano, kweli hiyo arobaini ni hela nyingi sana hawakupiga tu hesabu wengi walifurahi kufutwa tu,ingekuwa sawa hii arobaini ikapunguzwa hata kubaki ishilini
Wengi bungeni wanapiga makofi si kwa ajili ya hoja zilizotolewa ni kwa sababu wamemaliza siku, posho jioni inaingia na kesho wanakuja kupiga tena mkono kuingia mdomoni
Tulipe kod kwa sasa hvy kila mtu alipe kama abavyotumia na sio flat rateKama daladala ya kariakoo_Tegeta inatumia lita 150 kwa siku.....
Na kama serikali imeongeza sh 40 kwa lita kama mbadala wa motor vehicle road license...
Kama dalaladala hiyo ilikuwa ikilipa road license sh 350,000 kwa mwaka...
Ukikokotoa kutumia siku 300 kwa mwaka; daladala hiyo italipa road license sh 1,800,000 badala ya sh 350,000 za sasa... nilishangaa sana makofi ya wabunge ktk hotuba ya bajeti kufurahia kinachoitwa kufuta road license....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah, , ushaur mzur sana huoSasa mkuu huoni kwamba wewe ndio ulikua unaiibia serikari?? kama uliweza kuweka litre 150 kwa siku manake ulikua unaingiza pesa nyingi sana wakati unalipa pesa kidogo kwenye road licence, mimi nilikua nalipa laki 2 na 30 wakati kwa mwaka natumia mafuta kidogo sana, ambapo sasa ni kama nachangia 100,000 kwa mwaka, kikubwa ni kupambana na hali yako, ukiona unaibiwa ukifisha litre zinazolipa road licence 350,000 kama uliyokua unalipa mwanzo, paki gari yako kula mawe hadi mwaka uishe.
Exactly,Tulipe kod kwa sasa hvy kila mtu alipe kama abavyotumia na sio flat rate
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi wanaonunua mafuta kwa ajili ya Jenereta au Mitambo mingine isiyokua magari?Kwahiyo ndio unataka usemeje?! Umefikiria kwa gari ambalo muda mwingi limefungiwa ndani bila kutumiwa, nalo lilikuwa linalipa RL 350,000?
Ungekuwa na chombo chochote cha moto, ungewaelewa waliokuwa wakipiga makofi.
Africa shida sana, hatuna jema hata moja?!
ndio wabunge wetu hao, wanalinda matumbo yao tu, hawacheki raia wa kawaida anaumia vipiKama daladala ya kariakoo_Tegeta inatumia lita 150 kwa siku.....
Na kama serikali imeongeza sh 40 kwa lita kama mbadala wa motor vehicle road license...
Kama dalaladala hiyo ilikuwa ikilipa road license sh 350,000 kwa mwaka...
Ukikokotoa kutumia siku 300 kwa mwaka; daladala hiyo italipa road license sh 1,800,000 badala ya sh 350,000 za sasa... nilishangaa sana makofi ya wabunge ktk hotuba ya bajeti kufurahia kinachoitwa kufuta road license....
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi wanaonunua mafuta kwa ajili ya Jenereta au Mitambo mingine isiyokua magari?
Ni wizi au sio Wizi