Road License

Road License

Kikuyumbo

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
391
Reaction score
93
Habari wanaJF,

Ikitokea road license imeisha na hujalipia na askari wa usalama barabarani akakukamata. Nini adhabu ya kosa hili?

Nawasilisha.
 
Road licence askari hapaswi kuktoza faini bali TRA ndio watakutoza faini kwa kuchelewa kulipia. Huyo askari atakayekukamata kwa kukosa road licence muulize anatumia sheria gani kukutoza faini?
 
ebu angalia nyuma ya ile karatasi ya fine, utakuta makosa yote
 
Road licence askari hapaswi kuktoza faini bali TRA ndio watakutoza faini kwa kuchelewa kulipia. Huyo askari atakayekukamata kwa kukosa road licence muulize anatumia sheria gani kukutoza faini?

@ Blessings
Mkuu kwa hiyo polisi hawaruhusiwi kutoza fine kwenye hilo?
 
Polisi anasimamia sheria zote na kama zikivunjwa ana haki ya kuchukuwa hatua. Kwa kosa la kuendesha gari bila road licence, anauwezo Wa kulizuia gari lisitembee mpaka litakapo lipiwa road license, kwa kulipeleka kituo cha polisi na kuzuia mpaka itakapo lipwa
 
Back
Top Bottom