Road licence askari hapaswi kuktoza faini bali TRA ndio watakutoza faini kwa kuchelewa kulipia. Huyo askari atakayekukamata kwa kukosa road licence muulize anatumia sheria gani kukutoza faini?
Road licence askari hapaswi kuktoza faini bali TRA ndio watakutoza faini kwa kuchelewa kulipia. Huyo askari atakayekukamata kwa kukosa road licence muulize anatumia sheria gani kukutoza faini?
Polisi anasimamia sheria zote na kama zikivunjwa ana haki ya kuchukuwa hatua. Kwa kosa la kuendesha gari bila road licence, anauwezo Wa kulizuia gari lisitembee mpaka litakapo lipiwa road license, kwa kulipeleka kituo cha polisi na kuzuia mpaka itakapo lipwa