Road Traffic Act document

MWENDAKULIMA

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2009
Posts
951
Reaction score
355
Habarini wadau,

Naomba msaada wa jinsi ya kuipata document hiyo hapo juu.

Ningependa kujua haki zangu ninapokabiliana na jamaa zetu wa barabarani (traffic police),kuna maswali mengi nimekuwa najiuliza kwa muda mrefu sasa na nahisi hawa traffic police mara nyingi hutumia ujinga (ignorance) wangu ya kutokujua sheria kunikandamiza (na wengine pia huenda pia wanakutana na madhila haya).

Pia ningependa kujua hii Road Trafic Act ndiyo Highway code au ni vitu viwili tofauti? Nimejaribu kusoma orodha ya traffic offences kama yalivyoorodheshwa kwenye "notification sheet" ambayo hutolewa na traffic police nashindwa kuelewa vizuri kwa sababu imeandikwa kwa ujumla sana.

Ni hayo tu wadau

 
Kwa kweli nami nilijitaidi (kipindi fulani) kuitafuta bila mafanikio, hope wanajamii watatoa msaada unaostahili
 
MaxMase Mungu akubariki sana....
 
Last edited by a moderator:
MaxMase Mungu akubariki, umetusaidia wengi mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…