Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Lini na wapi serikali ilitangaza kuwa kwa kipindi hiki ni serikali ndiyo itakuwa inazika misiba bila kujali mtu amekufa kwa ugonjwa upi?Watu wasiozidi kumi kuondoa misongamano, wanafariki kwa magonjwa yao ya zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona misiba mingine ya wananchi hawasemi watu wasiozidi 10? NI special kwa baadhi tu?Watu wasiozidi kumi kuondoa misongamano, wanafariki kwa magonjwa yao ya zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Toeni takwimu sahihi, lumumba kafa mtu jirani pale? Mjipange!!!Ukitumia takwimu za chadema unaweza kudhani kuna watu laki 5 wanafariki kila siku, tumia commonsense hapo mtaani kwako kama kuna watu 10 wamefariki wiki hii jua hali ni mbaya lkn kama misiba ipo kawaida kama miaka 10 iliyopita basi na wewe jiongeze. Tokea Januari misiba imetokea mitano hapa mtaani ambayo ni hali ya kawaida kwa mtaani kwangu
Acha ujuaji, mtaani kwako watu wangapi wamefariki Leo/wiki hii.Toeni takwimu sahihi, lumumba kafa mtu jirani pale? Mjipange!!!
Mwanzo wa ngoma ni leleAcha ujuaji ,mtaani kwako watu wangapi wamefariki Leo/wiki hii
Jibu swaliMwanzo wa ngoma ni lele
Daahh! Aisee, yaani ni yale ya punda afe mzigo ufike!Ni Waziri mkuu na Waziri wa afya tu ndiyo wenye shamana ya kutangaza vifo vya corona. Punda eneleeni kuchapa kazi ili mlipe kodi binadamu waishi salama Chato.