A August JF-Expert Member Joined Jun 18, 2007 Posts 9,327 Reaction score 5,206 Apr 29, 2020 #81 Hakuna ushahidi wa kutosha kama ilikuwa Arusha zaidi ya picha , ambayo inaweza kuwa ilipigwa Tanzania au now ya Tanzania, tarehe inaweza kuwa tofauti na jana n.k
Hakuna ushahidi wa kutosha kama ilikuwa Arusha zaidi ya picha , ambayo inaweza kuwa ilipigwa Tanzania au now ya Tanzania, tarehe inaweza kuwa tofauti na jana n.k
mistari4G JF-Expert Member Joined Feb 10, 2019 Posts 554 Reaction score 652 Apr 29, 2020 #82 Tulikubali serikali isiyo ya uwazi Tufe kimya ndo tupate maana Sent using Jamii Forums mobile app
H hydrogen JF-Expert Member Joined Nov 12, 2012 Posts 993 Reaction score 694 Apr 29, 2020 #83 Huu mchezo tunaochezeshwa na serekali unaitwa Russian roulette! "Very unpredictable "!
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,263 Apr 29, 2020 #84 Bila bila said: Kila mti atafute Ikulu yake ahamie. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Umesahau kua kila mtu ale jasho lake hakuna wa kutegemea kodi ya mwenzie
Bila bila said: Kila mti atafute Ikulu yake ahamie. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Umesahau kua kila mtu ale jasho lake hakuna wa kutegemea kodi ya mwenzie