Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam and Tundu Lissu’s association is a self-inflicted demise

Magufuli for the Presidency ...There is no way we will vote for National number one traitor Lisuuu.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
If you are sensible, do some little fact checks on the following. [Amsterdam na wengine wenye akili wanafahamu kuwa:

1. Your client claimed he won't be allowed to land in Tanzania but to his dismay, he was given a warm reception at the JKN airport.
*Mnajitia shingo ngumu kutotaka kukubali kwamba suala la Lissu ni Mpango kamili wa Mungu. Mapokezi ya Lissu unayoyaita kuwa ni 'warm' ilikuwa ni matokeo ya msiba awa Rais mstaafu Mkapa. Bila ule msiba inawezekana habari ingekuwa nyingine kabisa! utapigaje mabomu wakati nchi ipo kwenye msiba mkubwa namna hiyo na kuna viongozi mbalimbali.
2. He claimed he won't be allowed to contest for presidency, but like any other candidate, he was given a cordial reception in all elections offices.
*Bila vitisho ambavyo Amsterdam alianza kuvitoa mapema mngeweka vigisu tu, uliona kule NEC zoezi dhidi yake halikwenda kiulaini kama wengine

3. They were given a live coverage by the national broadcasting cooperation but ended up chasing the media reporters
* TBC walizingua sana kwenye uzinduzi wa kampeni za Chadema kule Mbagala, huu wako ni uongo na ulaghai. Haya mambo watu wanayafuatilia huwezi kuwadanganya!
4. He is the only candidate who featured at the popular TV presentation "Dakika 45".
* Sio kweli kwamba ni Lissu peke yake ambaye amekuwa hosted katika "Dakika 45" fanya vizuri facts check kabla ya kukurupuka. Hata hivyo, mgombea wako hawezi kukalia hicho kiti hawezi kujibu maswali na kujieleza. Hujui kama BBC amechomoa?
 
When you speak of democracy in this land of Mwl. Julius Kambarage Nyerere, you speak of a common practice that has been demonstrated by the ruling party CCM since independence. What is happening in Tanzania is by far better than all African countries combined.

After October 28, you and your client will remain products of trash.
[emoji2935][emoji2935]
 
if this is true, we should have seen changes in people's income to better their lives. But every day is worse than yesterday. So what is the meaning of the so called blockage of white pigs' interest while no significant effect to people and their life?
 
Even yesterday while he was in Mtwara Lissu spoke about his gun shot incident.
That was merely aimed at attracting the attention of the voters...Lissu knows who shot him..The one who shot him was either an amateur or a sadist person who wanted just to teach him a lesson ...An amateur because a professional killer can't use more than two bullets in a killing mission...All in all Lissu had/has a lot of enemies because of his profession as a lawyer and a politician at the same
 
Kuna Wizi wa Kura Unaratibiwa na Usalama wa Taifa hapa Chuo kikuu cha Dar es salaam Katika ukumbi wa Yombo 4

Polisi wamemwagwa kibao na umeme umezimwa chuo kizima.
Mpelekee hizi taarifa Mahera...tumechoshwa na ujinga wenu humu...uzushi, uzushi, uzushi hata Bila aibu...NEC imetangaza Leo kuwa mwenye ushahidi wa vituo hewa au wizi wa kura au wapiga kura hewa apeleke kwenye tume....siyo mnatupotezea time humu kwa Mambo ya umbeyaumbeya..
Stupid...very stupid indeed...
 
Is Tanzania turning onto red street like that one of Amsterdam? Mimi nilishafika red street Amsterdam Holland kule ni Sodoma ndogo. Tanzania haina dini lakini watu wake wana dini na hakuna dini inayokumbatia ushoga labda dini ya washoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…