Robert Amsterdam athibitisha kufungua mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa Tanzania ndani ya ICC jumatatu

Jamaa ni opportunist tu wa kutafuta kuendelea kuwa relevant.
Anatafuta mafuta na gas aendelee kuwa bepari. Russia walipigwa ban asikanyage Kule sababu ya kuleta za kuleta.
TL alitoka naye wapi sijui
 
Mzungu ni nani mbona ni wa kawaida tu,mi nawatuma kila siku na wanafata ninachowaambia,alafu kuna mtu anakaa kumuona huyo mtu kama mungu acheni upimbi
Kwani wewe unaongelea hao wazungu unaopiga nao mzigo kwani wao ndio waliopelekewa kesi na Amsterdam ??
 
ACHENI mnweweseka UCHAGUZI UMEISHA. Huko THE HAGUE mnajifaiji sana.
Amsterdam hana uraia wa nchi hii ili apate legitimacy ya kuishitaki serikali.
Mtaweweseka sana ebu mwambie akamshitaki trump donald kwa kusababisha mauaji ya watu watano pale capitol hill majuzi.
Na amsaidie nancy Pelosi kukamilisha impeachment dhdi ya Donald trump.
 
Ninyi kweli vilaza na nyumbu. Hivi kweli bado tu huyu mpuuzi kawashikilia akili zenu.

Basi subirini aendelee kuwathibitishia.

MTU MWENYE AKILI, AKIKUAMBIA JAMBO LA KIPUMBAVU, NA ANAJUA UNA AKILI, NA UKALIKUBARI, ANAKUDHARAU. Mwl. J.K. Nyerere.

Babu Amstaderm kawashikia akili zenu.

Fanyeni kazi, achaneni na upuuzi wa kushikiwa akili na wazungu. Hawapigi kura mjue na 2025 sio mbali na hii 2021 bado mnapiga kelele na porojo Chama kinakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…