Shangazi na hawa mara yamaekuwa haya? Shangazi alikuwa anakanywa hasikii, ona sasa kamkosesha baba yake mdogo ulaji sababu ya akina Maalim na Zitto, alafafu leo wamefikia haya? Na hawezi fanya kazi za uwakili bongo mpaka Joni aondoke, na huko Znz hakukaliki. Kweli siasa shikamoo.Mbaya wetu tuna mjua. Kwanini ni mbaya tunajua. Kwanini ni muhimu awajibishwe pia tunajua.
Kwamba mtakuka na vi hoja vyepesi vyepesi kutuhadaa?
Hatudanganyiki!
Amstadam anapambana eti kwa kisingizio cha kutafuta haki ya Watanzania wakati wale watanzania waliopewa pesa walete fujo wanapambana ili waliowatumia washughulikiwe.Hata ama ni mkorofii, ndo tumeSHAMZOEA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Kwakweli Joni mkorofi na anatupelekesha, lakini ndo hivyo tena. Tumemzoea. Tundu Lissu agombee tu huko huko Ubelgiji, awe raisi wao au waziri mkuu wao, maaa wao wanamfalme.
Amina.Mungu wabariki Wazungu
Eti Mtu anayeweza kuuza utu wake na uhuru wake ili agharamiwe anataka urais.... huyo kwake kuiuza nchi na vyote vilivyomo sio kazi kabisaAmina.
Ila Wazungu sijui wamempa masharti gani. Kuongea siasa hadi uzuge unapeleka salamu za Christmas! Kugharamiwa nako shida sometimes, kama kuishi ukweni.
Get over this mkuu, mnapoteza muda.. Mtaishia kufile kesi ila hazitakuwa na matokeo.. Amsterdam muhuni anapambana tu muamini hela aliyowapiga imeenda kihalali, stukeni..Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:
Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!
Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:
All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Mkuu Salary Slip, mtu mweupe anaishi kwa kutazama maslahi yake zaidi kuliko hizi siasa nyepesi za Jamii Forum.Zikianza mtasema mabeberu!!
Huyo mse**e aachane na sisi akatafute hela kwa mabwana wa kiarabu. He is just a stupid person used by economi imperialist and record shows he never has any success apart from causing menace.Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:
Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!
Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:
All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Mnajua ufisadi unaoendelea kwa sasa?Anzeni kutupa mrejesho wa mahakama ya mafisadi kisha nanyi mtapewa.
Tujuze!Mnajua ufisadi unaoendelea kwa sasa?
Unajua nakupenda mama D?Amstadam anateseka sana. Mwambie huku sisi hatuna habareeeeee..... Joni is humble, we lavu Joni, he is our chosen one.
View attachment 1658919
Tumejipumzisha kivulini tunasherekea Noeli
Asanteee, basi tutakua tunapendana fyddellUnajua nakupenda mama D?
Umeandika nini kwani? kwani ungeandika kiswahili ungepungukiwa nini?
Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:
Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!
Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:
All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Hivi unafikiri watu ni wajinga Sana...eheeee hivi unadhani huyo Amsterdam Yuko salama??Zikianza mtasema mabeberu!!