GE2025 Robert Andrew Mhando aleta Mbio za Udiwani Kata ya Kivukoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Mkurugenzi Mkuu Wa Kampuni ya Media Tree Company Ltd na Mchumi wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Ndg. Robert Andrew Mhando ni Miongoni Mwa makada Wa Chama Cha Mapinduzi CCM walioteuliwa na Chama hicho Kushiriki kura za Maoni Kwa Nafasi ya Udiwani Wa Kata ya Kivukoni.

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…