Robert Lewandowski au Luis Suarez; nani no.9 bora duniani?

lemayan92

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
877
Reaction score
254
Najua kuna namba tisa bora duniani wengi tu kwa sasa kama kina Vardy, Ibrahimovic, Benzema na wengine. Lakini kati ya hawa wawili nani zaidi....?
 
Suarez amekuwa akimic michezo kadhaa lakini akirudi n mwendo wa mabao
 
luiz suarez huyu jamaa ni fundi balaa
 
mi natoka nje ya box kidogo the best #9 na ambaye hana mpinzani Ni Sergio Kun Aguero akiwa injury free Hamna wa kumfananisha
 
Suarez ni shida, ni mpiganaji wa kweli, anashuka kuja kuchukua mipira hasubiri kulishwa.
 
Suarez noma bana. Fighter, gives 100% on the pitch, na ukileta za kuleta hakukopeshi.
 
Lewandoski yuko vizuri.
Suarez yuko vizuri. Anapata nafasi zaidi kwakuwa akibanwa ANANG'ATA beki.. automatically anaogopwa.
 
Nendeni Guinness world record mkaulize watawajibu ndani ya sekunde moja tu
 
Luis Suarez, regardless uwepo wa Messi na Neymar bado jamaa ni fundii, jana tu katupia hat trick, bila uwepo wa wakali hao wawili.. Mi naona alikuwa anang'ata watu wanaoleta uzembe mpirani. Siku hizi anang'ata mpiraa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…