Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,595 Reaction score 3,670 Nov 25, 2017 #1 Hapa akifanya mahojiano na mwandishi wa nchi za Magharibi kuhusu harakati zake za ukombozi wa Zimbabwe kabla ya Uhuru wake
Hapa akifanya mahojiano na mwandishi wa nchi za Magharibi kuhusu harakati zake za ukombozi wa Zimbabwe kabla ya Uhuru wake
reyzzap JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 6,813 Reaction score 21,807 Nov 25, 2017 #2 Asaiv anamiaka 93, Kipne hcho alikua anamiaka 52 asaiv grace ana miaka 52, kwa ufupi Kipind hcho ndo alitakiwa amuoe Grace wa leo. NOTE: video sijaona, simu ninayotumia inapita kwenye pua ya le mutuz.
Asaiv anamiaka 93, Kipne hcho alikua anamiaka 52 asaiv grace ana miaka 52, kwa ufupi Kipind hcho ndo alitakiwa amuoe Grace wa leo. NOTE: video sijaona, simu ninayotumia inapita kwenye pua ya le mutuz.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Nov 25, 2017 #3 52 ni kijana? acheni utani jamani na ukumbuke waafrika wengi wanapunja umri sana.
C christmas JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,280 Nov 25, 2017 #4 Hv kumbe hapo alikua kijana