Robertinho akishinda mechi ya tarehe 21 dhidi ya Wydad Wanasimba hatutomdai chochote na tutamfutia dhambi zake

41dpA2wVE-L.jpg
 
Mbumbumbu tunaridhika kilofa sana.

Si tulikubaliana Kocha atayeifunga Yanga ndiye hatafukuzwa wala si kuleta kombe lolote pale Msimbazi sababu Professor Nabi kafukuzisha Makocha zaidi ya watatu na Simba hakuwahi kuifunga Yanga TZ PL tangu 2019?

Tuendelee kuchukua makombe ya kuifunga Yanga FC na kuwa wasindikizaji bora wa CAF Club Champions league hadi maji tuite mma.

• Head to head Makolokolo Vs Yanga, Yanga FC Dume/Baba lao (kashinda mechi nyingi zaidi).

• TZ PL trophies, Yanga FC Dume/Baba lao (kabeba mara nyingi zaidi).

• Simba = Underdog kwa Yanga anayejitutumua tu.

[emoji115] Chungu lakini ni dawa (ukweli) [emoji28].
 
Head to head Makolokolo Vs Yanga, Yanga FC Dume/Baba lao.

TZ PL trophies, Yanga FC Dume/Baba lao.

[emoji115] Chungu lakini ni dawa (ukweli) [emoji28].
Acha ujinga wewe Simba kamfunga yanga msimu wa 2019/2020 bao 4 fa , tumewafunga kigoma na kombe tulichukua na huyo Nabi akiwepo

Ye kanifunga Lin Zaid ya ngao
 
Mbumbumbu kwenye ubora wako, nimetaja wapi FA tofauti na TZ PL?

Umbumbumbu ni kipaji, sikulaumu.
Kawaida sana dadaako akikufinya nyumbani unamuacha atambe mbele ya mama, ila mkitoka barabaran...hata akikunyooshea kidole tuu unampa mbata za kufa mtu.. Yanga ni kama dadaetu hatuwez kumuonyesha mabavu nyumbani atasusa kuosha vyombo..[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mbumbumbu tunaridhika kilofa sana.

Si tulikubaliana Kocha atayeifunga Yanga ndiye hatafukuzwa wala si kuleta kombe lolote pale Msimbazi sababu Professor Nabi kafukuzisha Makocha zaidi ya watatu na Simba hakuwahi kuifunga Yanga TZ PL tangu 2019?

Tuendelee kuchukua makombe ya kuifunga Yanga FC na kuwa wasindikizaji bora wa CAF Club Champions league hadi maji tuite mma.

• Head to head Makolokolo Vs Yanga, Yanga FC Dume/Baba lao (kashinda mechi nyingi zaidi).

• TZ PL trophies, Yanga FC Dume/Baba lao (kabeba mara nyingi zaidi).

• Simba = Underdog kwa Yanga anayejitutumua tu.

[emoji115] Chungu lakini ni dawa (ukweli) [emoji28].

Umeshafikia mwisho wako UTOPOLO
 
Acha ujinga wewe Simba kamfunga yanga msimu wa 2019/2020 bao 4 fa , tumewafunga kigoma na kombe tulichukua na huyo Nabi akiwepo

Ye kanifunga Lin Zaid ya ngao

Anajitoa ufahamu
 
Mbumbumbu tunaridhika kilofa sana.

Si tulikubaliana Kocha atayeifunga Yanga ndiye hatafukuzwa wala si kuleta kombe lolote pale Msimbazi sababu Professor Nabi kafukuzisha Makocha zaidi ya watatu na Simba hakuwahi kuifunga Yanga TZ PL tangu 2019?

Tuendelee kuchukua makombe ya kuifunga Yanga FC na kuwa wasindikizaji bora wa CAF Club Champions league hadi maji tuite mma.

• Head to head Makolokolo Vs Yanga, Yanga FC Dume/Baba lao (kashinda mechi nyingi zaidi).

• TZ PL trophies, Yanga FC Dume/Baba lao (kabeba mara nyingi zaidi).

• Simba = Underdog kwa Yanga anayejitutumua tu.

[emoji115] Chungu lakini ni dawa (ukweli) [emoji28].
Kwani wewe toka 2019 umeifunga Simba mechi ngapi kwenye PL? Bao la Kibu limekuvuruga
 
Habari wakuu,

Furaha ya leo sio ya mchezo kabsa, ila huyu babu Robati akitaka furaha zipandiane zaidi atufungie na Mwarabu Wydad aisee tutamuingiza peponi bure!

Maana leo mji ulivyopoa mpaka raha, jiji limezima, wana mdomo sana nyau hawa, leo wametulia mpaka raha.
Maskini akipata m.... hulia mbwata!!
Every 🐕 has his day!
Simba imebeba kombe lake la kwanza msimu huu kuifunga Yanga baada ya kushindwa tangu 2019!

Mudathir hakuanza kama Mashabiki tulivyotaka kwa waliosoma my comments one day before nilisema Mudathir aanze ila kocha wetu anajua zaidi hatumlaumu makombe yote yetu
 
Mbumbumbu tunaridhika kilofa sana.

Si tulikubaliana Kocha atayeifunga Yanga ndiye hatafukuzwa wala si kuleta kombe lolote pale Msimbazi sababu Professor Nabi kafukuzisha Makocha zaidi ya watatu na Simba hakuwahi kuifunga Yanga TZ PL tangu 2019?

Tuendelee kuchukua makombe ya kuifunga Yanga FC na kuwa wasindikizaji bora wa CAF Club Champions league hadi maji tuite mma.

• Head to head Makolokolo Vs Yanga, Yanga FC Dume/Baba lao (kashinda mechi nyingi zaidi).

• TZ PL trophies, Yanga FC Dume/Baba lao (kabeba mara nyingi zaidi).

• Simba = Underdog kwa Yanga anayejitutumua tu.

[emoji115] Chungu lakini ni dawa (ukweli) [emoji28].
Kwa miaka miwili sasa Yanga haijaifunga Simba premier league, lakini Simba imeifunga Yanga mwaka huu
 
Kawaida sana dadaako akikufinya nyumbani unamuacha atambe mbele ya mama, ila mkitoka barabaran...hata akikunyooshea kidole tuu unampa mbata za kufa mtu.. Yanga ni kama dadaetu hatuwez kumuonyesha mabavu nyumbani atasusa kuosha vyombo..[emoji38][emoji38][emoji38]
Una kipaji kikubwa cha taarabu,elekeza nguvu huko.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mbumbumbu tunaridhika kilofa sana.

Si tulikubaliana Kocha atayeifunga Yanga ndiye hatafukuzwa wala si kuleta kombe lolote pale Msimbazi sababu Professor Nabi kafukuzisha Makocha zaidi ya watatu na Simba hakuwahi kuifunga Yanga TZ PL tangu 2019?

Tuendelee kuchukua makombe ya kuifunga Yanga FC na kuwa wasindikizaji bora wa CAF Club Champions league hadi maji tuite mma.

• Head to head Makolokolo Vs Yanga, Yanga FC Dume/Baba lao (kashinda mechi nyingi zaidi).

• TZ PL trophies, Yanga FC Dume/Baba lao (kabeba mara nyingi zaidi).

• Simba = Underdog kwa Yanga anayejitutumua tu.

[emoji115] Chungu lakini ni dawa (ukweli) [emoji28].
Tar. 16/02/2019 Yanga 0-Simba 1
Medie Kagere dak ya 71
Hiyo kusema toka 2019 Simba hajawahi mfunga Yanga huwa mnadanganywa na nani ?
Manyani akili hamnazo
 
Maskini akipata m.... hulia mbwata!!
Every [emoji240] has his day!
Simba imebeba kombe lake la kwanza msimu huu kuifunga Yanga baada ya kushindwa tangu 2019!

Mudathir hakuanza kama Mashabiki tulivyotaka kwa waliosoma my comments one day before nilisema Mudathir aanze ila kocha wetu anajua zaidi hatumlaumu makombe yote yetu

Tunaenda kumpiga muarabu nje ndani- mkuu amini or not
 
Habari wakuu,

Furaha ya leo sio ya mchezo kabsa, ila huyu babu Robati akitaka furaha zipandiane zaidi atufungie na Mwarabu Wydad aisee tutamuingiza peponi bure!

Maana leo mji ulivyopoa mpaka raha, jiji limezima, wana mdomo sana nyau hawa, leo wametulia mpaka raha.
Msimbebeshe zigo la miba huyu Mzee Kwa Hawa waydad,zile kelele za tunamtaka mgunda zipo wapi?
 
Back
Top Bottom