Robertinho amefanikiwa kuibadili Simba

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Alionekana kutokueleweka na ikapelekea mashabiki kuutaka uongozi umfungashie virago.

Tofauti na matarajio ya wengi kocha Robertinho amefanikiwa kuibadiri Simba SC kutoka kucheza possessive football na kucheza tactical & direct football.

Hii imeifanya Simba SC kuwa hatari sana katika eneo la mbele.

Ongezea
 

sio kuibadiri.. ni Kuibadili​

 
Wydad Casablanca wanakuja msije kuanza kumtukana tu.
 
Huu ndio mpira wa kisasa sasa!
 
Huyu jamaa ameijenga team icheze kimfumo badala ta kutegemea team ishinde kwa uwezo binafsi wa wachezaji na fluke.Hili nililigundua baada ya kuishinda ihefu akiwa na kikosi cha pili.

Huyu ni kocha mzuri.
Yanga mnamtegemea Mayele na kidogo Musonda ktk ufungaji, wakibanwa biashara imeisha. Lkn Simba mpk beki Henock anafunga.
 
Million 5 za mama ni za Caf champions league tu au mpaka kwenye league.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…