NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Tetesi za kipa la kibrazil kutua msimbazi zimenifanya nikumbuke Derjan (Mzungu)
Mlete mzungu! Mlete mzungu ! Mlete mzungu!!
MAONI YANGU: Kocha zolan alimleta Derjan lakini usajili wake haukuleta furaha pale msimbazi hiyo siyo ishu maana mzungu alikua anacheza namba tisa (9) na hiyo namba kulikua Kuna wachezaji wengi mbadala wa Derjan na ndiyo maana haijaleta madhara pale msimbazi.
Robertinho analeta kipa mbrazil kwa namna magazeti yanavyompamba inasemekana anadaka mpa vichwa vya treni ya mwendokasi.
Lakini tukumbuke nafasi ya Goal keeper ni nafasi nyeti sana, Simba haina kipa mpaka Sasa Ina maana Aishi Manula ni mgonjwa na huyo anayekuja kutoka Brazil ndiyo kipa namba moja (kipa wa kutegemewa).
Kama Zolan alivyoleta mzungu ikawa kituko na Robertinho kaleta kipa (mjomba wake toka Brazil) tutegemee Mambo ya Azam na Ahmada.