Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Keehokutwa tunaanza safari ya kusaka ubingwa kwa kucheza na mtibwa, nakushauri Robertinho tunataka kila mchezaji acheze, mechi na Mtibwa msimamishe namba 9 Shaaban Chilunda, kumi 10 Chama uone migoli itakavyomiminika nyavuni kwa mtibwa, weka kulia Duchu, kushoto Israel, Kazi, Che Malone, sita Abdallah Hamis, winga Kramo, winga Onana, nane Fabrice.Itakuwa balaa.
Wachezaji unao lakini unashindwa kuwatumia, we cjui vip jamaa
Wachezaji unao lakini unashindwa kuwatumia, we cjui vip jamaa