Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Shida ya Simba sio wachezaji, Simba hakuna timu, Fitness lever inasoma 50% sijui kambi ya uturuki ilikua na shida gani.
Kama hakutakua na makosa ya kibinadamu katika maamuzi, Simba ita struggle sana kupata matokeo kwa sasa.
Kwasasa zile bilion tatu ndizo zinazo fanya kazi kwa waamuzi.
Kwaiyo wengine awakuwa na pre season ni simba tu ndiyo miili ya wachezaji wao imefunga mpaka sasa? Na mazoezi magumu Azam, yanga, na ata singida awakuyafanya bali ni simba tu ndiyo iliyafanya na misuli bado aijarelax??????🤣🤣🤣INAONEKANA Hujui mpira au hujui pre season.
Pre season ni Mazoezi Magumu ya utimami WA Mwili kuelekea MSIMU mpya.
Mfano.
Gym.
Kamba.
Chuma.
Push up.
Mbio
Squash na Mazoezi mengine mengi Magumu sana.
Miwili ya Wachezaji Bado imefunga ( wakati WA MISULI kurelax Bado.
Watarelax Baada ya Mwezi mmoja ndipo Utapona matunda ya Kambi ya UTURUKI.
OGOPA SANA KITU KINAITWA PRE SEASON.