Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Simba ina shida katika uchezaji wake ingawa ina kikosi chenye uwezo wa kupambana na hata PSG ya ufaransa, we kama unabisha endelea kubisha lkn hiyo ndio fact.
Na mbrazil huyo ni kocha kweli kweli kww sababu tulimtoa Vipers na tuliona mafanikio yake, Robertinho msimu huu amebadilishwa benchi la ufundi, ameondolewa meneja wa timu na wengine waliokuwa benchi la ufundi, hao walioondolewa benchi la ufundi wana husda, wanafanya kila hila kuhakikisha Simba haichezi vizuri ili wao wakumbukwe.
Wanashinda kwa waganga kila siku kuroga timu yetu ili wao warudishwe, sasa hivi wamepelekwa Simba B ili wakaibue vipaji lakini akili yao iko kuiharibia Simba ya Robertinho.
Mimi nasema ukweli gemu na Singida na Yanga na hata Mtibwa ilisukwa mambo tupoteze na bado watu wanaendelea kumharibia Robertinho ili mkate wao urudi.
Haya mambo Yanga hayapo na huwezi kusikia ila kwetu kuna mambo ya kihanithi sana.