Robertinho ni kocha mzuri sana ila anapigishwa shoti na wale walioondolewa benchi la ufundi ili warudishwe

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Simba ina shida katika uchezaji wake ingawa ina kikosi chenye uwezo wa kupambana na hata PSG ya ufaransa, we kama unabisha endelea kubisha lkn hiyo ndio fact.

Na mbrazil huyo ni kocha kweli kweli kww sababu tulimtoa Vipers na tuliona mafanikio yake, Robertinho msimu huu amebadilishwa benchi la ufundi, ameondolewa meneja wa timu na wengine waliokuwa benchi la ufundi, hao walioondolewa benchi la ufundi wana husda, wanafanya kila hila kuhakikisha Simba haichezi vizuri ili wao wakumbukwe.

Wanashinda kwa waganga kila siku kuroga timu yetu ili wao warudishwe, sasa hivi wamepelekwa Simba B ili wakaibue vipaji lakini akili yao iko kuiharibia Simba ya Robertinho.

Mimi nasema ukweli gemu na Singida na Yanga na hata Mtibwa ilisukwa mambo tupoteze na bado watu wanaendelea kumharibia Robertinho ili mkate wao urudi.

Haya mambo Yanga hayapo na huwezi kusikia ila kwetu kuna mambo ya kihanithi sana.
 
Labda PSG ya Mkuranga.
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
 
Labda warekebishe makosa kwenye usajili wao.

1. WAPUNGUZE mawinga 3.
Waongeze wachezaji 3.

2. WASAJILI Beki wa kumchallange Inonga na Malone.

3. Waongeze kiungo mkabaji CDM 6.

4. Waongeze mshambuliaji HATARI zaidi wa kushirikiana na Baleke.
 
Una imani potofu
 
Labda warekebishe makosa kwenye usajili wao.

1. WAPUNGUZE mawinga 3.
Waongeze wachezaji 3.

2. WASAJILI Beki wa kumchallange Inonga na Malone.

3. Waongeze kiungo mkabaji CDM 6.

4. Waongeze mshambuliaji HATARI zaidi wa kushirikiana na Baleke.
Kwani ni nani alokuambia kwamba wachezaji waliosajiliwa wote wanacheza namba moja (winga) sema tu kocha ana mahaba niue na wachezaji anaowataka yeye, wachezaji wote 5 waliosajilwa mara hii wanaweza kuwemo uwanjani kwa wakati mmoja kwasababu uwezo wao hauna shaka, lakini kutegemea uifunge Mamelodi, All Ahli, Raja na nyenginezo ukiwa na washambuliaji kama Kibu, Boko, Saido ni kujidanganya. Kwa ligi ya NBC wote wanaweza kucheza na timu ikashinda lkn linapokuja suala la mechi za kimataifa basi kocha anapaswa kuwa mbunifu zaidi ili kuweza kuwatumia wachezaji hawa waliosajiliwa
 
No research no right to speak. Ulichopost ni hadithi za kusadikika maana no evidence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…