Robertinho: Usajili wa Simba ulikuwa mbovu

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
" Mashabiki Simba walinipenda na nawapenda sana lakini lazima waambiwe ukweli kwamba Simba ina safari ndefu kwa sasa kwa aina ya usajili uliofanyika. Waliosajiliwa msimu huu ni Che Malone na Ngoma ndio wenye ubora na viwango, wengine wanajitafuta."

Robertinho via @MwanaspotiTZ
 
Lakini so alikuwepo na ndiye alitoa mapendekezo, au ndo kusema sizitaki mbichi hizi. Tangu alipokuwepo hakuwahi kusema iweje leo siku anaagwa.
 
Yawezekana walimsajilia kibabe bila ridhaa yake[emoji3]
 
Lakini so alikuwepo na ndiye alitoa mapendekezo, au ndo kusema sizitaki mbichi hizi. Tangu alipokuwepo hakuwahi kusema iweje leo siku anaagwa.
Nawe usijutoe akili bro. Huku kwetu usajili unafanywa na viongozi tena bila kumshirikisha kocha bro. Yale magarasa ni kazi ya try again
 
Back
Top Bottom