Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Yawezekana walimsajilia kibabe bila ridhaa yake[emoji3]" Mashabiki Simba walinipenda na nawapenda sana lakini lazima waambiwe ukweli kwamba Simba ina safari ndefu kwa sasa kwa aina ya usajili uliofanyika. Waliosajiliwa msimu huu ni Che Malone na Ngoma ndio wenye ubora na viwango, wengine wanajitafuta."
Robertinho via @MwanaspotiTZ
Nawe usijutoe akili bro. Huku kwetu usajili unafanywa na viongozi tena bila kumshirikisha kocha bro. Yale magarasa ni kazi ya try againLakini so alikuwepo na ndiye alitoa mapendekezo, au ndo kusema sizitaki mbichi hizi. Tangu alipokuwepo hakuwahi kusema iweje leo siku anaagwa.