Robertnho: Simba inasafari ndefu

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
" Mashabiki Simba walinipenda na nawapenda sana lakini lazima waambiwe ukweli kwamba Simba ina safari ndefu kwa sasa kwa aina ya usajili uliofanyika. Waliosajiliwa msimu huu ni Che Malone na Ngoma ndio wenye ubora na viwango, wengine wanajitafuta."


Robertinho via @MwanaspotiTZ

 
Che Malone ile ni Mali,simba waliongea na Etoo akawaambia ile ni Mali wasiiacheπŸ˜€πŸ˜€
 
Ninakubaliana na Robertinyo kwani kama Simba wanamleta kishingo,kweli hii timu inaongozwa na genge la wahuni watupu.
Wajumbe wa bodi nimewastukia.

Sasa ninatambua hii timu inavunwa na wajanja sio kawaida.

Kuanzia sasa,sitafanya chochote kusapoti timu.Sinunui jezi,app sitalipia tena ijapo nimelipia mwaka mzima tayari,sitalipa kiingilio wala ada ya uanachama.Kifupi ninabaki mpenzi mtazamaji,wajinga waendelee kuliwa,mimi sio sehemu yao

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
mimi ni shabiki wa yanga lakini naona huyu mbrazil kama hazitaki mbichi hizi. hao hao anaowazarau ndio waliocheza hata na al ahly wakawapunyua na ndio walioifanya simba iogopwe africa. angesema tu kwamba wanahitaji morali fulani tu na kwamba mbele ya yanga watakalishwa though sio wabaya kivile.
 
Hongera kwa kuondoa tone moja la maji kutoka kwenye bahari ya hindi!! Tatizo ni kwamba hakuna atakayejua kuwa kuna tone moja la maji limetolewa!!
 
Mpaka mseme
 
Che Malone mbona kiwango ni Cha kawaida sawa TU na beki zingine za nbc
Kiboko ya Che Malone ni Max Nzengeli wakati anapita kufunga goli Che Malone alikuwa sokoni! Hana maajabu yoyote!
 
Huyo Ngoma na chemalone wanatengeneza ukuta wa ulinzi Kati ya mechi 9 za ligi wameruhusu nyavu za magorikipa wao kuguswa Mara 7 huku Afl na CAF wameruhus mechi zote. Hapo ni sawa na Kennedy juma na Nyoni hamna la maana zaidi ya kujiliwaza.
Simba ya msimu uliopita ilikuwa imefunga magori mengi na kuruhus magori machache kwa ukuta wa Kennedy na Inonga huku Dm wao akiwa kanoute!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…