Roberto Carlos' Champions League dream team is gold!

"I had to pick myself", said Carlos.
"The attacking players need some competition when it comes to taking free kicks."

kuna watu wameutendea haki mpira seeldof mpaka anastaafu alikuwa kwenye ubora wake tuuu jamani weee mungu hebu warudishe kidogo miaka yao siku hizi tunapoteza pesa kuangalia mpira oooo my god
 
kuna watu wameutendea haki mpira seeldof mpaka anastaafu alikuwa kwenye ubora wake tuuu jamani weee mungu hebu warudishe kidogo miaka yao siku hizi tunapoteza pesa kuangalia mpira oooo my god

Like 100000000

Mpira wa sasa hauvutii,watu kama Morinyo wanaharibu mpira,wamegeuza mpira vita-nikulazimisha ushindi tu,mpira wa kuvutia hakuna tena,mpira wa talents kama wa gaucho,zizu,henry,figo haupo siku hizi,kidogo Mess ila wengine ni minguvu tu uwanjani!

Nasikia hasira saana nikiangalia mpira wa zama hizi...sioni tarent kwakweli!
 
Kikosi kimejaa wachezaji wa AC Milan..

cc: Aleyn , mourinho , juve2012
 
Hapo mbele ni Ronaldo yupi?

Huyu tozi wa sasa au yule mnyama wa PSV, Barca, Milan,Madrid?
 
Watu8 kweli carlos ampe center forward cristiano? kweli ndg wazo hilo limekuijia?
 
Watu8 kweli carlos ampe center forward cristiano? kweli ndg wazo hilo limekuijia?

Aaah nauliza tu mkuu maana nami ningeshangaa kama angelikuwa ni CR...
 
Rivaldo... Assist zake tu kwa wanayemuita the phenomenon.. Lakini hayupo.
 
Sio kidogo.. Sasa ni Messi tu
 
gang chomba hahaha halafu utasikia mess ness sijui ronaldo jamani kombe la dunia ndio msemaukweli
 
Three-time Champions League winner Roberto Carlos has revealed his dream team of players he has played with and against in the illustrious tournament - and decided to pick himself in defence.

Mtu yeyote anayejiita mtu wa mpira halafu anawa-omit Messi na CR7 kwenye lineup yoyote yenye sura ya the global football finest, huyo lazima atakuwa na wivu wa KIKE tu (sorry my dadas/mamas nawaheshimuni sana!)
 
Sijui hujaelewa au hatujakuelewa unataka nini! Hii ni line-up according to Roberto Carlos, sasa ukisema mtu anayejiita mtu wa mpira utakuwa unachekesha kwasababu huyu jamaa sio mtu wa kujiita, huyu ni mwana kabumbu wa ukweli na watu wote wanajua. Wewe unamwona Messi na Ronaldo mwingine atafikiria Kibadeni na Sembuli, sio official, just opinion inayoendana na sababu za mtu binafsi. Kila mtu yuko free kutoa maoni yake, sasa kama watu mawazo yao hayafanani yako ndio wanakuwa kama wanawake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…