Roberto Oliveira Aachana na Vipers, Kutua Simba

Ivi makocha kumbe wao ni ruhsa kuvunja mkataba anytime.. Sio mchezaji
 
Kama ni kweli maombi yangu yatakuwa yamesikiwa, huyo kocha ni jembe, kwa namna alivyoitengeneza Vipers, tena ikiwa na wachezaji wa kawaida, amewapa chemistry wanacheza kitimu bila kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja, hakika Simba kama kweli wanamleta huyo mwamba wamelamba dume.
 
Anakuja kufundisha nini kwenye club fukara isiyo weza hata kujinunulia basi la kusafirishia wachezaji?
Kwani yeye ni mjinga kuvunja mkataba huko alikokua na kuja club fukara?

Kuna club fukara kama ile iliyoshindwa kumpa mshahara mchezaji wake nyota mpaka kuamua kuvunja mkataba na kusepa?
 
Simba na Yanga ni mapacha. Wote hawana hela. Je ni basi gani Simba wameshawahi kununua kwa pesa zao?
Yutong walinunuliwa na TBL mengine walipewa na Africariers, yaani Mo anazidiwa hela hata na Malkia wa Nyuki
 
Kipimo cha kua na pesa ni kununua basi? Hakuna mtu au kampuni inayotoa bidhaa buree hayo mabus yanatolewa kimkataba..

Huko utopoloni kipimo cha kua na pesa ni kununua bus?
 
Kama ni kweli maombi yangu yatakuwa yamesikiwa, huyo kocha ni jembe, kwa namna alivyoitengeneza Vipers, tena ikiwa na wachezaji wa kawaida, amewapa chemistry wanacheza kitimu bila kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja, hakika Simba kama kweli wanamleta huyo mwamba wamelamba dume.
Wastani wa umri wa wachezaji wa Vipers ni miaka 24, wastani wa umri wa wachezaji wa Simba ni miaka 32 unategemea kocha ata vifundisha Nini Vibabu ambavyo Kwa umri huo vinashikiria tuzo ya Ulozi barani Afrika katika Ngazi ya vilabu!!
 
Umeanza kuteseka ukiwa wapi?!

Kama huo utopolo ulioandika hapo ungekuwa una make sense, basi Simba SC ingekuwa ya mwisho kwenye msimamo wa ligi, lakini ndio kwanza Bocco na uzee wake bado anawakanda tu.

Na akija huyo kocha kutengeneza chemistry ya timu, hata Onyango nae atakuwa anatupia tu, huku hatutaki kumtegemea mfungaji mmoja pekee kama masharti ya mganga!
 
Kipimo cha kua na pesa ni kununua basi? Hakuna mtu au kampuni inayotoa bidhaa buree hayo mabus yanatolewa kimkataba..

Huko utopoloni kipimo cha kua na pesa ni kununua bus?
Kwa hiyo Simba lile basi walilopewa na TBL walilipia kiasi gani?
Na zile Tata Simba ilizipia kiasi gani?
 
Back
Top Bottom