INAUZWA Robin used Generator KVA 1.5

Jack Lee

Member
Joined
Feb 23, 2011
Posts
71
Reaction score
70
Habari wadau wa Generator,

Nauza Generator niliagiza Japan bado Liko vizuri sana, hp 1500 KVA 1.5 Sababu ya kuliuza nimeagiza kubwa zaidi ya hili kama unalitaka changamka dukani bei yake ni 2m mimi nauza laki saba tu mzigo unapatikana Tabata Matumbi

Bei 700k

Nipigie kwenye namba hii 0735-472-232

 

Attachments

  • FFE4E9CF-5921-4160-B136-6A5D15F7A799.jpeg
    207.6 KB · Views: 2
  • 82642E6B-ABF1-4666-854D-A56EBC214BBE.jpeg
    191.3 KB · Views: 2
  • 2A5C1522-C3EE-4B55-91B8-3452D62BE14B.jpeg
    231.8 KB · Views: 3
  • EEC3F8EA-AB7F-488E-B0BA-C4BA615916A8.jpeg
    120.3 KB · Views: 2
  • B0323919-338D-48A4-8D81-DD455381D84E.jpeg
    144.1 KB · Views: 2
  • F4E83CCF-2B8D-460D-9F37-A6F119CF67F6.jpeg
    188.2 KB · Views: 2
Mkuu bei gani Tank kama lita ngapi?
 
Bado iko sokoni wakuu mwenye kushida na Original generator anicheki inatumia mafuta kidogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…