Huyu dogo kelele nyingi mno akienda Barca atacheza namba ya nani?
LIVAPULI bwana mkuu.
hehehehe!
shemasi livapuli kama hujawasoma vizuri ni kwamba hawana bahati.huwanacheza weeeeeeeeeeeeeee finally wanafungwa fungwa,lol!
washabiki wa liva woote wanaishi kwa straight,ndio maana hata ile blogu nyingine mimi huwa siitembelei sababu mmiliki aliweka wazi kwamba yeye ni mzee waBWAWA-LA-MAINI
Robinho anataka vikombe, Man City ndio kwanza wanaangaika kutaka kuingia kwenye top four. Kwa hiyo hapo Man City hapamfai bora angejiendeaga Chelsea.
Ndo angechukua namba ya nani pale mbona mbele pamekamilika mkuu.