Robo 3 ya Wachimba madini Geita ni Wazanzibari - Msukuma. Hii sio kauli ya bahati mbaya

Yule waziri wao kasema atawatimua wabara walioko kwenye mahoteli ya visiwani
Hii kauli ya Msukuma sio ya bahati mbaya, ni kauli ya kinyongo na kutoridhishwa, ni suala la muda Watanganyika na wao watasema wazanzibari wanachukua fursa zao.
 
Naona taratibu Watanganyika wanaojielewa wameanza kuamka usingizini. Tumefika patamu
Sina shaka yule Ali Kessy mzee wa 'NAMANYERE' angekuwepo mjengoni, hao jamaa wa Zenji, wangekiona cha mtema kuni! Jamaa alikuwa hawakopeshi hao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…