Robo Fainali ipi SIMBA kafungwa nyumbani?

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Najaribu kukumbuka. Zifuatazo ni mechi za Nyumbani za Simba kwenye hatua ya robo Fainali. Hajawahi kupoteza game ya dsm
2019 Simba 0 TP Mazembe 0
2021 SIMBA 3 KAIZERCHIEFS 0
2022 SIMBA 1 ORLANDO PIRATES 0
2023 SIMBA 1 WYDAD 0
Kwa hiyo kushinda siyo issue issue ni kuvuka kwenda hatua inayofuata
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Leo ndio mmekumbuka kama mna mechi?

Endeleeni kumshabikia Mamelodi Majibu yake mtayapata.
 
images (1)-1.jpeg
 
Najaribu kukumbuka. Zifuatazo ni mechi za Nyumbani za Simba kwenye hatua ya robo Fainali. Hajawahi kupoteza game ya dsm
2019 Simba 0 TP Mazembe 0
2021 SIMBA 3 KAIZERCHIEFS 0
2022 SIMBA 1 ORLANDO PIRATES 0
2023 SIMBA 1 WYDAD 0
Kwa hiyo kushinda siyo issue issue ni kuvuka kwenda hatua inayofuata
Hiyo mechi na mazembe ni uzembe wa Boko,, anaenda kupiga penati huku keshasaini timu nyingine wakati ana mkataba Simba .
 
Najaribu kukumbuka. Zifuatazo ni mechi za Nyumbani za Simba kwenye hatua ya robo Fainali. Hajawahi kupoteza game ya dsm
2019 Simba 0 TP Mazembe 0
2021 SIMBA 3 KAIZERCHIEFS 0
2022 SIMBA 1 ORLANDO PIRATES 0
2023 SIMBA 1 WYDAD 0
Kwa hiyo kushinda siyo issue issue ni kuvuka kwenda hatua inayofuata
Matokeo ni Simba kushinda tu
 
Hii ya leo mkuu
 
Mbona Leo kawekwa
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Dunia nzima ??
 
Back
Top Bottom