Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Leo ndio mmekumbuka kama mna mechi?Najaribu kukumbuka. Zifuatazo ni mechi za Nyumbani za Simba kwenye hatua ya robo Fainali. Hajawahi kupoteza game ya dsm
2019 Simba 0 TP Mazembe 0
2021 SIMBA 3 KAIZERCHIEFS 0
2022 SIMBA 1 ORLANDO PIRATES 0
2023 SIMBA 1 WYDAD 0
Kwa hiyo kushinda siyo issue issue ni kuvuka kwenda hatua inayofuata
Mkuu huyo ni gongowazi wazi mwenzako.Leo ndio mmekumbuka kama mna mechi?
Endeleeni kumshabikia Mamelodi Majibu yake mtayapata.
Ilikuwa na Orlando na akapigwa tenaKuna moja nadhani alienda ugenini ukaloga katikati ya maelfu ya watu
Gong owa zi ma maakoMkuu huyo ni gongowazi wazi mwenzako.
Gongowazi katika ubora wako,mbona dingi yako Agoro Anduru alikuwa muungwana sana wewe matusi umejifunzia wapi?Gong owa zi ma maako
Typing error sijakusudia sasa baba angu kaingiaje humu na wewe kolozdadGongowazi katika ubora wako,mbona dingi yako Agoro Anduru alikuwa muungwana sana wewe matusi umejifunzia wapi?
Hiyo mechi na mazembe ni uzembe wa Boko,, anaenda kupiga penati huku keshasaini timu nyingine wakati ana mkataba Simba .Najaribu kukumbuka. Zifuatazo ni mechi za Nyumbani za Simba kwenye hatua ya robo Fainali. Hajawahi kupoteza game ya dsm
2019 Simba 0 TP Mazembe 0
2021 SIMBA 3 KAIZERCHIEFS 0
2022 SIMBA 1 ORLANDO PIRATES 0
2023 SIMBA 1 WYDAD 0
Kwa hiyo kushinda siyo issue issue ni kuvuka kwenda hatua inayofuata
Matokeo ni Simba kushinda tuNajaribu kukumbuka. Zifuatazo ni mechi za Nyumbani za Simba kwenye hatua ya robo Fainali. Hajawahi kupoteza game ya dsm
2019 Simba 0 TP Mazembe 0
2021 SIMBA 3 KAIZERCHIEFS 0
2022 SIMBA 1 ORLANDO PIRATES 0
2023 SIMBA 1 WYDAD 0
Kwa hiyo kushinda siyo issue issue ni kuvuka kwenda hatua inayofuata
Hii ya leo mkuuNajaribu kukumbuka. Zifuatazo ni mechi za Nyumbani za Simba kwenye hatua ya robo Fainali. Hajawahi kupoteza game ya dsm
2019 Simba 0 TP Mazembe 0
2021 SIMBA 3 KAIZERCHIEFS 0
2022 SIMBA 1 ORLANDO PIRATES 0
2023 SIMBA 1 WYDAD 0
Kwa hiyo kushinda siyo issue issue ni kuvuka kwenda hatua inayofuata
Mbona Leo kawekwaNajaribu kukumbuka. Zifuatazo ni mechi za Nyumbani za Simba kwenye hatua ya robo Fainali. Hajawahi kupoteza game ya dsm
2019 Simba 0 TP Mazembe 0
2021 SIMBA 3 KAIZERCHIEFS 0
2022 SIMBA 1 ORLANDO PIRATES 0
2023 SIMBA 1 WYDAD 0
Kwa hiyo kushinda siyo issue issue ni kuvuka kwenda hatua inayofuata
Dunia nzima ??Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE