Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Sanaaaa, yaani rahaaaaa.Kuna jambo linachekesha kweli Mkuu
Ni kweli, ni unfair kusonga mbele kwa ubovu huu wa defenceSimba hatustahiki kwenda nusu,sio kwa beki hii
Kitendo tu cha kumtoa Juuko imeonekana hajui anachokifanya
khamsa moko mkuu🏃🏃.Write your reply... Ngap ngap
Kweli mkuu! Huo ukuta wetu ni wa biskuti hamna kitu kabisa
Wazee wa 5GKitu viva TP bado moja hesabu ziende sawa.