Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Kwanini hakumpa nyoni apige.. Tushatoka kwa kushindwa kutumia uwanja wa nyumbani.. Ingetakiwa hapa mazembe afe 2 sufur
 
Halafu muda kama kuna mtu anausogeza aisee...game ikiwa kasi na tight muda unakimbia kweli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…