DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Pale ndo kituo cha mwisho cha mbumbumbu fc.Sio mbaya ndugu kikubwa uzima upo.
Hahahaaa. Ngoja wana nguvu moja waje hapo uone watakavyopovuka. π π π mie nasubiria Lubumbashi tu hapa.
Nimeona Binamu ila nawaonaga wengi wanavaa mikononi. Itakuwa vina maana pia.Nilikuonesha Hapo juu kuwa MO amevaa hirizi (ndumba)
Hahaaaa. Hujakosea kabisa binamu.Mmh !! Binamu kwa Avatar yako mpya ..Zlazims Wana SSC wafike fainali!!!!!!!
Hahaaa. Hivyo watalowana si kidogo. Naona huku Mtaani wanajitutumua kwamba watapindua mezaPale ndo kituo cha mwisho cha mbumbumbu fc.
Watakuwa wadogo paka atasubiriπππ
Wakisha kufa huko utasikia wamekufa kiume wakati kufa ni kufa tuHahaaa. Hivyo watalowana si kidogo. Naona huku Mtaani wanajitutumua kwamba watapindua meza
Binamu usiamini hizo hirizi NI itikadi potosha!!Nimeona Binamu ila nawaonaga wengi wanavaa mikononi. Itakuwa vina maana pia.
sawaHukuona mnyama akifanya vitu vyake!!?
Ulinuna sna ukafanana na avatar yako!!!!