Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Amepaniki japo ametoa pasi nzuri ya tikitaka ya Kagere iliyogonga mwamba.Zana Colibaly anakimbia bila mipango
Mi naona kama yeye ndio anaipa uhai timuZana Colibaly anakimbia bila mipango
Wapunguze mbwembweSimba pale Mbele Golini waache Pasi za kijinga!!
Haruna anatoa pasi za Uhakika tatizo ni wenzake wanaleta madaha!Wapunguze mbwembwe
Kwa mchezo wake anaweza kulimwa kadi muda wowote, maana anacheza ujinga halafu anampigia kelele mwamuzi
umeharibu mwishoni tu ulipoweke ilo shukaKulitaka MWANA kulipewa MWANA.. Simba Taifa kubwa ,ushindi lazima kama CCM
Hahahahaha,umeona eeehLeo kuna dalili za kukalia ukuni!
Nisubiri mkuu nikufuateYanga napita tu
Na Elvis Musiba...sterling Willie GambaKikosi cha Kisasi.....!!!
Inaonekana leo Bakongoliz bamepakangha butuluu!Hahahahaha,umeona eeeh