Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Nisubiri mkuu nikufuate
Mechi kubwa kama hizi hazitakiwi mbwembwe kabisaHaruna anatoa pasi za Uhakika tatizo ni wenzake wanaleta madaha!
Anatakiwa apunguze pupa na asikae na mpira kwa muda mrefu!
Siku zote nakuona beki mwepesi zaidi ya mbio na kross anawenge sana huyo chaliiZana anawenge
Voxser empire
Ninaitafuta jezi ya TP Mazembe mkuuTulia hapa hapa utanipa matokeo ya mechi hii
Angalia mashambulizi ya simba asilimia kubwa yanatokea kwakeAnatakiwa apunguze pupa na asikae na mpira kwa muda mrefu!
Tatizo ana wenge sana
Mkuu kuna zana na mkude na kagareHaruna Niyonzima ndio mchezaji wangu bora kwa dakika 45 za kwanza
Kwa kweli ziende kwa Pongezi Denis Kitambi kwani ujio wake ndiyo umebadilisha sana uchezaji na upangaji wa timu.Haruna Niyonzima ndio mchezaji wangu bora kwa dakika 45 za kwanza