Elihuruma Lwinga
Member
- Jun 3, 2014
- 63
- 68
kwa Drow iliyochezeshwa leo imepanga kua Simba sc itakutana na Orlando pirates, huu mchezo kwa jina tu la timu ya Orlando inaonekana ni ngumu kuliko hata tunavodhani, na ukilinganisha na timu ambazo zitakutana na Simba endapo itapita hapa,
Kikubwa ni kwamba watumie vizuri mchezo wa kwanza utakaochezwa uwanja wa mkapa Dar es salaam, naamini Simba watapita bila kikwazo chochote ingawa Ugenini kupata ushindi inakua ngumu, basi wajitahidi mchezo wa kwanza Simba washinde kuanzia magoli 3 na kuendelea, ili wakienda kule kwao sare tu iwapitishe.