Elihuruma Lwinga
Member
- Jun 3, 2014
- 63
- 68
ni ngumu kufungwaSimba atafungwa kwa Mkapa na pale South Africa
Simba atashinda goli 3kwa Drow iliyochezeshwa leo imepanga kua Simba sc itakutana na Orlando pirates, huu mchezo kwa jina tu la timu ya Orlando inaonekana ni ngumu kuliko hata tunavodhani, na ukilinganisha na timu ambazo zitakutana na Simba endapo itapita hapa,
Kikubwa ni kwamba watumie vizuri mchezo wa kwanza utakaochezwa uwanja wa mkapa Dar es salaam, naamini Simba watapita bila kikwazo chochote ingawa Ugenini kupata ushindi inakua ngumu, basi wajitahidi mchezo wa kwanza Simba washinde kuanzia magoli 3 na kuendelea, ili wakienda kule kwao sare tu iwapitishe.
Endelea KuotaSimba atafungwa kwa Mkapa na pale South Africa
Naunga mkono hoja!kwa Drow iliyochezeshwa leo imepanga kua Simba sc itakutana na Orlando pirates, huu mchezo kwa jina tu la timu ya Orlando inaonekana ni ngumu kuliko hata tunavodhani, na ukilinganisha na timu ambazo zitakutana na Simba endapo itapita hapa,
Kikubwa ni kwamba watumie vizuri mchezo wa kwanza utakaochezwa uwanja wa mkapa Dar es salaam, naamini Simba watapita bila kikwazo chochote ingawa Ugenini kupata ushindi inakua ngumu, basi wajitahidi mchezo wa kwanza Simba washinde kuanzia magoli 3 na kuendelea, ili wakienda kule kwao sare tu iwapitishe.
Hii utokea mara 1 kila baada ya 4 yrs ........maharamia hawatoki kwa MkapaYa jwaneng galaxy yanaweza kujirudia kwa mkapa Taifa
Simba sio yanga wewe.Simba atafungwa kwa Mkapa na pale South Africa
Hili swala kutokea ni kama kupatwa kwa jua, sio swala la kila siku.Ya jwaneng galaxy yanaweza kujirudia kwa mkapa Taifa
kwamba ORLANDO PIRATES WAWE WAMEKAA TU HAWACHEZIni ngumu kufungwa
Wewe toa mwiko nyuma ukaoshe huo mtaro, fuatilieni zamu ya kulisha ng'ombe wenu siyo Habari za SimbaSimba anaenda kukamilisha ratiba
Huko ulipo umejifunika ngumi kuficha utupu wako,Simba atafungwa kwa Mkapa na pale South Africa
Jifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo.Wewe toa mwiko nyuma ukaoshe huo mtaro, fuatilieni zamu ya kulisha ng'ombe wenu siyo Habari za Simba
🤣🤣🤣🤣kwamba ORLANDO PIRATES WAWE WAMEKAA TU HAWACHEZI