Rock City: Hoteli ya nyota tano ikishushwa na NSSF

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887



Jengo la Hoteli itakayokuwa na hadhi ya Nyota tano ambayo inaendelea kujengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF Mkoani Mwanza.
 
Nasubiri nijue bei ya chumba nije Mwanza😂
 
Matumizi ya fedha za mifuko ya hifadhi ya jamii mfano NSSF yamekuwa fikirishi sanaa, kuna miradi tija yake ni ndogo sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…