Future Boss
Member
- Jul 5, 2018
- 43
- 57
John be good n kali aiseeHuwa nachimba historia hata za miziki ... hawa ndo waanzilishi wa rock n roll kabla ya wazungu
View: https://youtu.be/6ROwVrF0Ceg?si=Tucmc9vQYXBFhxQ4
View: https://youtu.be/4u-ihWoRC4w?si=HwdRdUXQliv1hxl3
View: https://youtu.be/BmpwvxW0gW0?si=37SZvgpi71bndGrkhuu wimbo ulichukuliwa na Elvis akawa maarufu
Prince alikua na bifu na MJ
Hawa wasanii mara nyingine wana bifu za kibiashara ambazo si za binafsi... ila nna uhakika walikuwa na ushindani mkali sana kama simba na yanga hata kuonekana kama wanachukiana sanaPrince alikua na bifu na MJ