Kupitia chanzo cha habari makini kabisa(Watu wa karibu) inasemekana timu hiyo ya rockstar hali sio shwari kabisa.Kuna mvurugano mkubwa mno tangu kipindi kile Baraka anatoka.
Inasemekana hivi sasa wasanii wengi wameona kuna ubabaishaji mkubwa na kuisusa lebo hii.Chanzo kikubwa kuna msanii mmoja anajiona babu kubwa zaidi ya wenzako.Dharau kibao,kujiona,maringo wakati lebo na kazi zinadorora.
Ndio maana juzi kati Baraka alipost na kusema MBWA NYIE MSINIPANGIE VYA KUPOST.[emoji15] [emoji15] [emoji15] likiwa na dongo kuelekea kwa msanii huyo mwenye dharau.
Muda sio mrefu ubuyu mzima utapatikana hapa.[emoji12] [emoji12] [emoji12]