ROHO inanisuta lakini utamu unanivuta

Dhambi ya uzinzi na mke wa mtu itakuatafuna ogopa sana........ unaweza kujiona wewe ni mjanja kwa sasa ila tambua pindi likibumbuluka tu ndipo utaelewa kwa nini watu wanasema mke wa mtu sumu????
 
kuna wanawake wana michezo ya hatari...duh. yani jamaa anamchapa halafu anamuweka karibu na mumewe
wengine wanapenda kujifanya kondoo wakati ni chui ... hapo likifumuka jamaa ataona mshikaji noma anamzunguka mkewe kumbe mwanamke ndo mjinga
 
ahaaaaaaa, kumbe unaniibia mke wangu alfu unajitia rafiki? siku ile ulivyokuja nyumbani, ulipotambulishwa nilikuwa na wasiwasi sasa nimebaini, sitaki kukuona kwangu tena wewe ni mnafiki na ndumilakuwili, uchangamfu wako wako na mke wangu ulikuwa unanipa wasiwasi lakini nilipuuzia kwa kuwa nilikuwa namuamini mke wangu, lakini sasa BASIIII
 
Kuna watu wana laana ..hebu jaribu kuwaza mkeo ndio anakufanya mambo kama hayo?
 
Kigarama bojo bojo,unahitaji kweli jibu hapa?
 
mh!
hakiamama, em kaa mbali na hao watu ndugu.
mpotezee huyo dada na mmewake bila wao kukuelewa.
hilo ni janga kabisa, siku likilipuka hakiamama utajuta.
 
Kwani mmeshawahi kufanya mapenzi nae.kama ndiyo achana na hiyo biashara na mumewe coz mtakuja bambwa alafu jaamaa akukate kawoush au kaptura.
 
Wewe uko demon infested. Yaani unataka kuniambia hujui la kufanya hapo?Kaache hako kalokole fake, ni kajike ka watu.Sishangai Mzee wa Upako kuzaa mbaruti,mbona yeye mwenyewe mbaruti.
 
Jaaaah!!! jibu unalo mwenyewe kwenye "heading" Roho inakusuta...
tubu madhambi yako na huyo mke wa mtu mwasherati mwenzako (don't excuse the expression)..,
kama mnapendana kiukweli na si kudandiana tu kwa haja za miili yenu, mkapime magonjwa yote, then uwaache wenye ndoa yao takwimu zisizo rasmi, zinastipulate ratio ya man:women ni 1:5...yaani a single man has 5 single ladies to choose one amongst... acha mke wa watu baaana, tafuta wako utulie nae asee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…