Roho inauma kuona Yanga inashinda dhidi ya hawa waarabu

Mbona poa tu kwa ushindi huu. Taifa kwanza mambo yetu tuyaweke pembeni Watani wamefanya kazi nzuri.
 
Usikubaki kuteseka ukiwa Dunian Mungu kakupa utashi wa kuamua mwenyewe kwenye kila jambo
 
Karibu Yanga Sc, inaondoa maumivu yote, ya moyo inaondoa roho mbaya, uchawi, wivu nk, njoo upate raha duniani
 
Ni wakati Simba tuamke maana tushakuwa kama ccm na sisi sasa mdomo wingi timu pira bovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…