ROHO MBAYA TU KWENYE MASHEREHE

hahahaaahhahah, ngoja nitoke nje ya mada kidogo!
Nyama sijui ina nini kwa kweli! kuna makabila huku kanda ya Ziwa wenyewe ikiwa mfano ni kwenye shereha au msiba NYAMA INAPIKWA NA WANAUME, hahahhahhahahahahh. acheni nyama iitwe nyama!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…