ROHO MBAYA YANGA YADHIHILIKA KWA KUWAPOKEA NKANA

beal

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
114
Reaction score
60
Yule kiongozi wa vyura ambaye yumo katika orodha ya washtakiwa wa mheshimiwa waziri, yeye pamoja na mchezaji anayecheza nafasi ya beki katika kikosi cha timu ya Nkana FC, wameonekana mkoani Morogoro asubuhi ya leo.

Lengo la safari ya wawili hao mkoani humo, pamoja na mambo mengine, ni kwa ajili ya kumuona kipofu ambaye amekuwa maarufu katika siku za hivi karibuni ili kuhitaji msaada wake.
 
Ndumba ndumba, si vibaya kuwasalimia walemavu
 
Huyo beki wa kushoto wa Nkana FC ni mpu.mbavu sana,yaani anaambatana na viongozi wa Yanga ambao walimwacha kwenye Usajili dakika za mwisho?Kama isingekuwa Nkana leo angekuwa mtaani anachoma mahindi halafu leo wabaya wake wanajifanya marafiki,naye anakubali.Kweli kenge ni kenge tu hata aende Ulaya.
 
lete ushahidi mbona mnaamini sana haya mambo jamani kumbe ndiyo maana mnakataa kutoka uwanjani hadi timu pinzani itoke du kumbe mikia ni mikia tu nimeamini Nkana hoyeeeeeeeeeeeee piga hao mbumbumbu maana wanaamini ushirikina
 
Huyo beki wa kushoto wa Nkana FC ni mpu.mbavu sana,yaani anaambatana na viongozi wa Yanga ambao walimwacha kwenye Usajili dakika za mwisho?Kama isingekuwa Nkana leo angekuwa mtaani anachoma mahindi halafu leo wabaya wake wanajifanya marafiki,naye anakubali.Kweli kenge ni kenge tu hata aende Ulaya.
Povu kama lote, Vibe
 
yaani kuwa shabiki wa litimu linalo amini ushirikina kama simba nni taabu kweli kweli, kwwnza litimu lenyewe ni la waarabu na wahindi nawashangaa 'wamatumbi' wanatafuta nini huko kama si kujipendekeza pendekeza..........
 
Yule kiongozi wa vyura ambaye yumo katika orodha ya washtakiwa wa mheshimiwa waziri, yeye pamoja na mchezaji anayecheza nafasi ya beki katika kikosi cha timu ya Nkana FC, wameonekana mkoani Morogoro asubuhi ya leo.

Lengo la safari ya wawili hao mkoani humo, pamoja na mambo mengine, ni kwa ajili ya kumuona kipofu ambaye amekuwa maarufu katika siku za hivi karibuni ili kuhitaji msaada wake.
= yadhihirika
 
Na kweli Manji ni msambaa wa Mlalo.Si ndio huyo mnapigia magoti?
Ujinga ugonjwa mbaya sana.
 
Kila lakheri Nkana
Nkana.jpeg
 
Manaraaaaaa kuna watu wamekutia gundu..
 
Yule kiongozi wa vyura ambaye yumo katika orodha ya washtakiwa wa mheshimiwa waziri, yeye pamoja na mchezaji anayecheza nafasi ya beki katika kikosi cha timu ya Nkana FC, wameonekana mkoani Morogoro asubuhi ya leo.

Lengo la safari ya wawili hao mkoani humo, pamoja na mambo mengine, ni kwa ajili ya kumuona kipofu ambaye amekuwa maarufu katika siku za hivi karibuni ili kuhitaji msaada wake.

Ni kosa kusambaza habari za uongo mitandaoni
 
Fellow Zambians, I honour your kindly support for Nkana FC tomorrow at the National Stadium in Daresalam.
United we stand, divided we fall.
 
Back
Top Bottom