Imani ipi,Na wewe unajiita shabiki kwa imani hizi za kishenzi!?
Povu kama lote, VibeHuyo beki wa kushoto wa Nkana FC ni mpu.mbavu sana,yaani anaambatana na viongozi wa Yanga ambao walimwacha kwenye Usajili dakika za mwisho?Kama isingekuwa Nkana leo angekuwa mtaani anachoma mahindi halafu leo wabaya wake wanajifanya marafiki,naye anakubali.Kweli kenge ni kenge tu hata aende Ulaya.
yaani kuwa shabiki wa litimu linalo amini ushirikina kama simba nni taabu kweli kweli, kwwnza litimu lenyewe ni la waarabu na wahindi nawashangaa 'wamatumbi' wanatafuta nini huko kama si kujipendekeza pendekeza..........
waasisi wa timu..sio wawekezajiManji alikuwa mmatumbi?
= yadhihirikaYule kiongozi wa vyura ambaye yumo katika orodha ya washtakiwa wa mheshimiwa waziri, yeye pamoja na mchezaji anayecheza nafasi ya beki katika kikosi cha timu ya Nkana FC, wameonekana mkoani Morogoro asubuhi ya leo.
Lengo la safari ya wawili hao mkoani humo, pamoja na mambo mengine, ni kwa ajili ya kumuona kipofu ambaye amekuwa maarufu katika siku za hivi karibuni ili kuhitaji msaada wake.
Na kweli Manji ni msambaa wa Mlalo.Si ndio huyo mnapigia magoti?yaani kuwa shabiki wa litimu linalo amini ushirikina kama simba nni taabu kweli kweli, kwwnza litimu lenyewe ni la waarabu na wahindi nawashangaa 'wamatumbi' wanatafuta nini huko kama si kujipendekeza pendekeza..........
Sawa bakita= yadhihirika
Yule kiongozi wa vyura ambaye yumo katika orodha ya washtakiwa wa mheshimiwa waziri, yeye pamoja na mchezaji anayecheza nafasi ya beki katika kikosi cha timu ya Nkana FC, wameonekana mkoani Morogoro asubuhi ya leo.
Lengo la safari ya wawili hao mkoani humo, pamoja na mambo mengine, ni kwa ajili ya kumuona kipofu ambaye amekuwa maarufu katika siku za hivi karibuni ili kuhitaji msaada wake.