Roho mbaya!

ni kweli,tena mie nafurahi zaidi pale rafiki za jamaa wakimponda shem wao mpya huku wakimlaumu rafiki yao kuniudhi hadi nikambwaga!wakishatupoteza ndio wanaujua uzuri wetu!
 

Ubinadamu wako uko palepale!!
 

Mtu wa aina hii ujue ni sadist na ndiye alikuwa mbaya na kusababisha ndoa/uhusiano uvunjike...hakuwa tayari kuachwa na yuko radhi atumie muda na hata pesa kufuatilia ajue nini kinaendelea katka maisha yako,ikiwezekana hata kukudhuru.
Mtu kama huyu anajiumiza buree..bora aendelee na maisha yake.
 
mie naweka alama kabisa ajue kabisa kwamba mwanaume yule nilimkosea na hata kama kuachana basi na alama tena usoni anakoringia.
how to treat like them
Conquest
 
Upele! uko tayari nawe kuwekwa alama? Au wewe ni malaika hukosei?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…