ntabhaligwa
Senior Member
- Jan 2, 2017
- 141
- 103
Imani, nafsi, Mungu.... Hivi vitu havina ithibati atakae jaribu kuvithibitisha kwa namna yeyote atakuwa anajiongopea .The brain and human mind are much smaller than God and faith.Ni aghalabu sana kiongoz wa kiimani kuruhusu waumini na wasio waumini kuuliza maswali baada ya mada. Pengine utamaduni wa kuuliza maswali magumu ungekuwa ni Lazima, tusingeshuhudia utitiri wa madhehebu duniani, mengi yakiwa kwa maslahi ya viongozi wao. Ni kiongoz mmoja tu(anayefahamika kwa sasa duniani) ambae ameenda mbali zaidi na kuruhusu maswali hata nje ya mada alizozungumzia na amekuwa akijibu kwa ufasaha na kutoa hata marejeo. Huyo Si mwingine bali ni Dr. Zakir Naik. katika video hii amejibu kuhusu kifo, kukata roho, roho ni nini na inaenda wapi baada ya kifo?
Roho si sehemu ya MunguRoho ni sehemu ya Super Natural power.
Ni sehemu ya Mungu. Hivyo haionekani na haitakuja kuonekana.
Ukifa Roho hurudi kwa Mungu kwani ni sehemu yake. Wakati Mwili hurudi mavumbini kwani mwili ni sehemu ya Mavumbi.
Yeah!!Roho si sehemu ya Mungu
UMEMALIZA MKUUUU.Roho ni sehemu ya Super Natural power.
Ni sehemu ya Mungu. Hivyo haionekani na haitakuja kuonekana.
Ukifa Roho hurudi kwa Mungu kwani ni sehemu yake. Wakati Mwili hurudi mavumbini kwani mwili ni sehemu ya Mavumbi.
Ni kweli MkuuUMEMALIZA MKUUUU.
Nao mavumbi ( mwili) kurudi mavumbini ,,nayo ROHO KURUDI KWA MUNGU.
Sasa hapo ndio ugumu wa biblia unapokuja. Yesu ni Mungu lakini Mungu huyo alikufa. Je alipokufa roho yake ilienda wapi?Roho ni sehemu ya Super Natural power.
Ni sehemu ya Mungu. Hivyo haionekani na haitakuja kuonekana.
Ukifa Roho hurudi kwa Mungu kwani ni sehemu yake. Wakati Mwili hurudi mavumbini kwani mwili ni sehemu ya Mavumbi.
Yesu Si Mungu. Na hawezi kuwa Mungu.Sasa hapo ndio ugumu wa biblia unapokuja. Yesu ni Mungu lakini Mungu huyo alikufa. Je alipokufa roho yake ilienda wapi?
Wanasema ni Mungu. Tito 2:13Yesu Si Mungu. Na hawezi kuwa Mungu.
Mungu haonekani hivyo hana mfano.
Hizo nyingine ni simulizi.
Hakuna sababu inayofanya Yesu Awe Mungu Mkuu
Wanasema ni Mungu. Tito 2:13
Wewe umeisoma biblia kwa kuongozwa na roho mtakatifu? Hata lete mistari sasa siyo kuongea kwa ujumla wake. Kwa taarifa tu biblia haijaelezea ni wapi roho zinapohifadhiwa baada ya mauti. Kama unajua toa andiko!Hakuna utata wowote wapi roho inaenda baada ya kifo. Biblia takatifu imetoa ufafanuzi wa kina juu ya suala hilo. Wanaosema kuna utata au wanaoleta hoja tofauti na Biblia hivyo yote ni kazi ya Shetani kuupotosha ukweli. Someni Biblia mkiongozwa na roho wa Bwana mtaelewa vema.
Utata hapa ni pale tunajua roho zote baada ya kifo zinakwenda kwa Mungu. Sasa utata wa ile roho ya Mungu baada ya kufa ilienda wapi?Hakuna utata wowote wapi roho inaenda baada ya kifo. Biblia takatifu imetoa ufafanuzi wa kina juu ya suala hilo. Wanaosema kuna utata au wanaoleta hoja tofauti na Biblia hivyo yote ni kazi ya Shetani kuupotosha ukweli. Someni Biblia mkiongozwa na roho wa Bwana mtaelewa vema.
Wewe ndio unapotosha sasa!hakuna Roho, ni maneno matupu ya sio na ukweli
kwann napotosha?Wewe ndio unapotosha sasa!