Roho ni nini? inaenda wapi baada ya kufa?

Kama wanasayansi wanaweza kuset vitu vikawa automatic, iweje Mungu ashindwe? nadhan Mungu ashaweka uumbaji wake ktk automatic system pengine now anaumiza kichwa(sorry God has no any example) afanye nin kipya ktk creativity yake...
 
Roho ni sehemu ya Super Natural power.

Ni sehemu ya Mungu. Hivyo haionekani na haitakuja kuonekana.

Ukifa Roho hurudi kwa Mungu kwani ni sehemu yake. Wakati Mwili hurudi mavumbini kwani mwili ni sehemu ya Mavumbi.
Una hakika au unakisia tu?

Una ushahidi wa hayo uliyoandika?

Unaweza kuyathibitisha in a logically consistent way?
 
Kama wanasayansi wanaweza kuset vitu vikawa automatic, iweje Mungu ashindwe? nadhan Mungu ashaweka uumbaji wake ktk automatic system pengine now anaumiza kichwa(sorry God has no any example) afanye nin kipya ktk creativity yake...
Una hakika Mungu yupo?

Unaweza kuthibitisha hilo in a logically consistent way?
 
Una hakika au unakisia tu?

Una ushahidi wa hayo uliyoandika?

Unaweza kuyathibitisha in a logically consistent way?
Ni uhakika. Sikisii.

Logically ni kuwa Roho ilitolewa na Mungu Moja kwa Moja. Soma mwanzo 2 uielewe vizuri
 
Imani, nafsi, Mungu.... Hivi vitu havina ithibati atakae jaribu kuvithibitisha kwa namna yeyote atakuwa anajiongopea .The brain and human mind are much smaller than God and faith.
Kama Mungu hana ithibati, utajuaje kwa uhakika kwamba yupo na si hadithi tu?
 
Ni uhakika. Sikisii.

Logically ni kuwa Roho ilitolewa na Mungu Moja kwa Moja. Soma mwanzo 2 uielewe vizuri
Kusema kitu ni logically hakukifanyi kuwa logically.

Kama Mungu wa Biblia yupo, Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, aliyeumba mbingu na nchi, ambaye alikuwa na uwezo wa kuuumba ulimwengu vyovyote alivyotaka, kwa nini kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya yawepo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kuwepo?
 
Sasa hapo ndio ugumu wa biblia unapokuja. Yesu ni Mungu lakini Mungu huyo alikufa. Je alipokufa roho yake ilienda wapi?
Roho ni nini?Unaweza kuthibigisha roho ipo?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Mungu yupo. Hata wakristo wanaamini hivyo. Tito 2:13
Wa Buddhist hawaamini hivyo.

Wakristo wanaamini Yesu ni Mungu, Waislamu hawaamini hivyo.

Toa jibu ambalobhaliwezibkuwa contradicted. Biblia inaweza kuwa contradicted.

Kama Mungu yupo, Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, Mungu huyu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Kwa nini hakuumba ulimwengu huo ambao mabaya hayawezekani, kaumba huu ambao mabaya yanawezekana?
 
Huwezi thibitisha uwepo wa roho mpaka pale utakapo koma kuishi.

Utakapo kufa ndipo utakapoanza kuishi.
Kama huwezi kuthibitisha, unajuaje ipo?

Unajuaje ipo na si story tu?

Ulishawahi kufa?

Kama Mungu yupo, Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, Mungu huyu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Kwa nini hakuumba ulimwengu huo ambao mabaya hayawezekani, kaumba huu ambao mabaya yanawezekana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…